TASWIRA KATIKA PICHA DIAMOND AKIPIGA STORY NA NELLY KWENYE RED CARPET YA BET


n1 
Tukio la BET awards 2014 limefanyika na mambo mbalimbali yalitokea, zaidi ya interview kwenye redcarpet Diamond amekutana na wasanii tofauti. Hivi sasa ameshare picha zake akiwa na msanii Nelly wakionekana kwenye mazungumzo na salamu. Hayo yote yametokea kwenye redcarpet ya BET usiku wa kuamkia leo 30/6.
Hii ni caption ya picha aliyokuwa na Nelly.
n2
n3
n4
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top