UMESIKIA ALICHOKISEMA @BDozen LEO BAADA YA UGOMVI WA JANA NDANI YA STUDIO ZA CLOUDS FM SIKILIZA HAPA.




Siku ya jana kulikuwa na ugomvi mkubwa kati ya watangazaji wawili wa kipindi cha  (XXL) kinachorushwa na kituo cha Clouds Fm Adamu Mchomvu pamoja na Fatma Hassan ama Dj Fetty katika studio za  Clouds ugomvi huu unasabaishwa na  mauzo ya Albam ya Fiesta! kama hukupata Fursa ya Kusikiliza UNAWEZA KUBOFYA HAPA


  Kpindi cha asubuhi cha Hekaheka kilimtafuta Mtangazaji wa kipindi hicho Hamis Mandi ama B_dozen ili azungumzie ugomvi wa jana na kisa hasa kikiwa ni nin lakini kwa bahati mbaya hakusema kitu ila alishia kusema mabo yote ya kwenye uongozi wa Clouds Fm,picha ya chini ni picha ya jana baada ya ugomvi huo kutokea


Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top