UMESIKIA HAYA MAPYA YALIOIBUKA JUU YA UGOMVI WA WATANGAZAJI WA XXL WASIKILIZE HAPA WAKIFUNGUKA.

 dozen11


Siku ya Jumatano July 02 ulisikia ugomvi mkubwa kati ya watangazaji wa kipindi cha XXL ambapo zilisikika kelele za watu kugombana na pia vitu kama chupa kuvunjika leo kupitia website ya mtangazaji wa clouds fm imeandika kuhusu ukweli juu ya tukio lilotokea,leo July 04 wameeleza ukweli juu ya kilichotokea na kusema hii wamefanya kwa ajili ya kampeni ambayo Clouds Media Group wanaiendesha kwa sasa waliyoipa jina la Paza Sauti.

Kampeni hii ikiwa na malengo makuu ya kuhamasisha utoaji wa taarifa ambazo unaziona mtaani kwako kama haziko sawa kutoa taarifa hasa kwa vyombo vya dola ikiwemo Polisi ili kwa pamoja tuidumishe amani tuliyonayo Tanzania,Paza Sauti,Ukimya Hausaidii..

Bonyeza play kusikiliza maana halisi ya Paza sauti. BONYEZA HAPA KUSIKILIZA KILICHOSEMWA


Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top