AVRIL KUTOKA KENYA KUFUATA NYAYO ZA LIL WYNE..



Mwanamziki kutoka pande za kenya ajulikanaye kama Avril ameweka mpango wake wazi wa kuzindua bidhaa yake mwenyewe kama ilivyo kwa mastaa kama Lil wyne na Dr Dre.

Bidhaa hzo ni earphones ambazo zitakuwa na jina la G's na F's ambazo kwa muujibu wake amesema jina hilo ni kimuziki na ufunguo wa G na F ni wazo ambalo amelitoa kaka mpendwa..

Taarifa zilizokuwepo awali zinaweka wazi kuwa wizara ya elimu ya juu kabisa na sayansi na teknolojia ya nchini kenya ndio iliyopangwa kutoa ufadhili wa bidhaa hiyo ambazo zitaingia mwisho wa wiki hii..

HAYA KAZI KWENU KWENU TANZANIA..........
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top