MERCY JOHNSON APATA MTOTO WA KIKE BAADA YA NDOA YAKE NA ODIANOSE OKIJIE MWAKA 2011.....








    














Msanii anayefanya vizuri sana kutoka pande za Nollywood anayejulikana kama Mercy Johnson hivi karibu kulikuwa na uvumi kwamba alikuwa anaujazito sasa kwa habari zilizo kamili ni kwamba sasa Mercy amejifungua mtoto wa kike mwenye afya njema.

Mercy Johnson alifunga ndoa na mumewe Odianose Okejie mwezi wa nane mwaka 2011.....



Hapo anaonekana akiwa hospital na mwanaye............


Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top