
LULU AKIWA NA MAMA YAKE NJE MUDA MFUPI TU BAADA YA KUPATIWA DHAMANA LEO KATIKA MAHAKAMA KUU

HII NI GARI AINA YA V8 ALIBEBWA NALO LULU

WAKILI UPANDE WA LULU ALIYEKUWA KIMTETEA KATIKA KESI YAKE NDG FLUGENCE MASSAWE AKIZUNGUMZA NA WANDISHI MARA BAADA YYA MTEJA WAKE KUPATA DHAMANA.....

LULU AKIONDOKA KATIKA MAENEO YA MAHAKAMA KUU

MACHOZI YA FURAHA BAADA YA KUWA HURU


LULU AKIPANDA GARI KUELEKEA NYUMBANI KWAKO

