STELLA MWANGI KUFUNGUA SHOW YA TREYZ SONG KESHO NORWAY....

 Rapper kutoka pande za Kenya mwanamke anayejulikana kama Stella Mwangi aka STL leo katika ukurasa wake wa twitter amefungaka juu ya yeye kuchaguliwa na Live Nation katika ufunzi wa show za mkali Treyz song kutoka marekani ambapo show hiyo itafanyika kesho mjini Olso Norway



HIZI NI BAADI YA TWEETS ZAKE KATIKA MTANDAO WA KIJAMII WA TWIITER
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top