CHECK OUT BEHINDF THE SCENE YA MOVIE MPYA YA ODAMA PAIN KILLER.

a2 poster



Muite Jenifer Kiyaka a.k.a Odama kama wengi tunavyomfahamu, actress na  mmiliki wa J-filim 4 Life anakaribia kutoka na kazi yake mpya titled “Pain Killer”. Kwenye movie hiyo ambayo yupo Hemed PHD ndani yake, Jengua,Mzee Chilo na wengine kibao. Ipo tayari na hizi ni baadhi ya picha za behind the scene na trailer ya “Pain Killer” ambayo itatoka hivi karibuni.













































Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top