Askari akifungua majani ya mgomba yaliyoufunga mkono ulionyofolewa hivi karibuni kutoka kwa mwanamke mwenye ulemavu wa ngozi na kufukiwa porini kijijini Miangalua wilayani Sumbawanga ambao akiuonesha hadharani mbele ya majengo ya Hospitali ya Mkoa mjini hapa juzi usiku Februari 14 mwaka huu.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Stella Manyanya wa tatu kulia akibubujikwa na machozi.
Madaktari wakijitahidi kutafuta mishipa kwa ajili ya kuongeza damu kwa mwanamke aliyekatwa mkono ambaye pia ni mlemavu.

