STAA wa Bongo movie anayejulikana kama Wema Abraham Sepetu, hivi karibuni aliweka picha yake akiwa katika mahaba motomoto na mwanaume inavyosemekana kuwa ni mwanaume wake.
Picha hiyo aliiweka kwenye mtandao wa BBM inamuonesha mwana dada wema akinyonyana (DENDA)mwanaume huyo lakini picha ikiwa imekatwa na kuonyesha mitaa ya kidevu na mpaka kiunoni.
Baada ya kuweka picha hiyo, Wema aliandika hiviiiii:
‘Miss you mume wangu, wewe ndio kila kitu katika maisha yangu, watasema sana lakini mambo yetu yanatuendea vizuri.”


