Ndege hiyo aina Boeing 747 jet ambayo ni mali ya kampuni ya British Airways, siku ya jumapili Dec. 22nd iligonga nyumba kwa bawa lake la upande wa kulia katika nyumba moja iliyoko karibu na Airport nchini Johannesburg, South Africa. (Pic above)
Filed Under:
KIMATAIFA on Wednesday, 25 December 2013