DAYNA NYANGE AVUTWA KENYA NA WILLY TUVA, APEWA JINA LA MALKIA


    Jana katika kipindi cha  meseto East Afrika cha Citizen Radio, kwa mara ya kwanza msanii toka Tanzania mwana dada DAYNA NYANGE, aliweza kupata sapoort kubwa baada ya Host wa kipindi hicho Mzazi Willy Tuva alipoweza kumtambulisha katika ulimwengu wa muziki wa Afrika Mashariki na kumbatiza jina jipya la New East African Queen huku akitambulisha nyimbo zake mbli mbali lakini kubwa zaidi ni wimbo mpya wa mimi na wewe unaofanya poa kwa sasa ndani ya Tanzania. Pia Willy Tuva alipost katika mtandao wake wa Instagram na Twitter


Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top