HIVI NDIVO ILIVYOKUWA KWENYE BIRTHDAY PARTY YA MAY D ONA PICHA HAPA



Mwanamziki kutoka Nigeria alifanya vizuri kwenye wimbo wa P_square na Akon May_D juzi kati alifanya party ya kufa mtu nigeria kusherehekea siku ya kuzaliwa na hizi ni baadhi ya picha siku hiyo na hawa ndio walio hudhuria 
P-Square, Phyno, Kayswitch, YQ, and
DJ Jimmy Jatt ni kati ya mastaa kutoka Nigeria walio hudhuria























Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top