(Audio) Suma Mnazaleti Ft. Roma Mkatoliki - Mnazaleti Mkatoliki

Mataifa mawili yamekutana kwenye ngoma moja, Namzungumzia Suma Mnazaleti na Roma Mkatoliki wamekutana kwenye wimbo mmoja ambao unatambulika kwa jina la Mnazaleti Mkatoliki. Fanya kusikiliza wimbo huu then tupia maoni yako hapa chini.
Bonyeza HAPA ku download



Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top