KUTANA NA PICHA ZA MREMBO ALIYEVALISHWA CHENI NA MSANII JUX KWENYE STAGE JANA NDANI YA FIESTA TANGA.



Siku ya jana katika mji wa Tanga katika viwanja vya mkwakwani kulifanya tamasha la Fiesta 2014 ambapo wasanii kadha wa kadha walipanda jukwaani ili kuwaburudisha mshabiki zao lakin katika moja ya vioja vilivyotokea siku ya jana ni baada ya Msanii Jux kumvisha cheni yake mrembo kutoka Tanga kwa mapenzi ya dhati kabisa bila ya hiyana kabisa na watu wakibaki wakiwa na mswali mengi juu ya tukio la msanii huyo 

Tizama picha hapa chini 






 


 


 


Picha kwa hisani ya Mtandao wa bongo5.com
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top