SODOMA NA GOMORA:VIDEO ZA MAKAHABA KUTOKA KENYA WANODAI BIASHARA YAO ITAMBULIKE KISHERIA ZIKO HAPA.



Habari kutoka Kenya zinasema akina mama pamoja na kina dada wanaojishuhulisha na biashara ya ngono maarufu kama ukahaba wameitaka serikali ya nchini kenya kuruhusu biashara hiyo kuhalalishwa kisheria ili wafanye kama kazi zingine makala hii iliyo andaliwa na kituo kimoja cha televishion nchini kenya fuatilia hapa

Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top