UMEIYONA PICHA YA NDEGE BINAFSI ANAYOMILIKI MSANII DAVIDO KUTOKA NIGERIA HII HAPA.




Msanii Davido kutoka Nigeria ambaye pia amewahi kufanya Collabo na msanii Diamond kutoka hapa Tanzania kupitia Akaunti yake ya Instagram ameachia picha ambayo inamuonyesha akiwa kwenye ndege yake binafsi ambapo kwa mujibu wake yeye mwenyewe ndege hiyo ni yake ama wengi hupenda kusema Private Jet kama ilivyozoeleka tizama alichikiandika hapa chini 




Pamoja na picha ya ndege hiyo hii hapa



Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top