UMELIONA VAZI LA MSANII LADY GAGA LILILO NA SHEPU YA UUME LIKO HAPA.

capture5

Msanii Lady Gaga amabye huwa aishiwi na vituko ametoa kali ya mwaka baada ya kudesgn vazi lilokuwa na uhalisi wa kiungo cha uzazi kwa upande wa mwanaume yaani UUME,vazi hilo alilova katika moja ya Event huko nchini kwao na kufanya mitandao mingi ya Marekani kupost picha zake huku akiwa na kivazi hicho 
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top