UMESIKIA KAULI YA KWANZA YA MSANII MENINAH JUU YA UHUSIANO WAKE NA MSANII DIAMOND PLATINUMZ IKO HAPA.



Msanii wa Bongo Flava ambaye aliwahi kufanya vizuri japo hakushinda kwenye mashindano ya kusaka vipaji maarufu kama BSS Meninah La Diva katika exclusive Interview aliyofanyiwa na kituo cha redio cha  Times Fm amezungumzia kuhusu kipindi chake kipya cha runinga kitakachoanza hivi karibuni hakuishia hapo tuu pia aligusia hata zile shutma za yeye kuwa na ushusianoi wa kimapenzi na Msanii Diamond Platinumz

Msikilize hapa chini kwenye audio hii BONYEZA HAPA KUSIKILIZA



Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top