Hussein Machozi ametuletea hizi 9 kutoka kwenye video yake mpya.

h11Hussein Machozi ni staa wa bongofleva ambae alihamia nchini Kenya kwa muda ili kukamilisha mambo yake ikiwemo muziki anaoufanya toka kitambo ambapo baada ya mishemishe hizo anatarajia kurudi kuendelea kuishi Tanzania hivi karibuni.
Kwenye hii video mpya inayoitwa ‘nimepona‘ iliyofanywa Kigali Rwanda wataonekana watu wawili tu ambao ni yeye na huyu mrembo wa Rwanda tu na inatoka wiki hii.
h8
h9
h7
h6
h5
h3
h4
h2
H1
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top