Msanii mwenye asili kutoka Senegal anayefanya kazi zake za muziki nchini America Akon ambaye hivi karibuni alikuaja East Africa na alitembelea kenya,ameingia kwenye headlines baada ya kumiliki wake wanne
Mtandao wa TMZ ulimuliza msanii huyo kama ni sawa kwa raia wa marekani kwa na wake wengi na alijibu kuwa "mimi naamin kama tamaduni hiyo ipo basi lazima na sisi tutarithi"
Juzi alipotembelea kenya alikuja na mke wake wanne huyu hapa
Tizama Video hii akithibitisha kumiliki wake wanne
Tizama Video hii akithibitisha kumiliki wake wanne