KUTANA NA TOP TEN LIST YA WASANII WA NIGERIA WANAONGOZA KWA KUMILIKI MAGARI YA KIFAHARI.




Msanii wa kwanza ni msanii Davido ambaye anajulikana kwa kumiliki magari ya kifahari kama Chevrolet Camaro ambapo mpaka sasa anamagari 6 kwenye yparking yake ya magari lilingine alilonalo ni pamoja na G-Wagon 


 

Wizkid anaingia kwenye list hii akiwa anamiliki gari aina ya  Porsche Panamera 



 


Msanii Jim Iyke ambaye ni masanii wa maigizo kutoka  Nollywood anaingia kwenye list hii akiwa namiliki magari aina ya  Plymouth Prowler pamoja na  Camero SS.

 

Msanii mwingine ni pamoja na Daniella Okeke anayemiliki gari aina ya  Range Rover.



 

Msanii mwingine ni pamoja na Ebube Nwagbo anayemiliki gari aina ya 2013 Honda.

  

Wa mwisho ni pamoja na msanii Halima Abubakar anayemiliki gari aina ya  Porsche.

Tufuate kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook na Twiiter ili upate habari punde zitufikiapo 
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top