UMEVIONA VIATU ANAVYOVAA RAPPER OCTOPIZZO KUTOKA KENYA ZENYE THAMANI YA MILLION 2 TSH.




Rapper Octopizzo kutoka kule nchini kenya amengia kwenye headline hasa kwenye upande wa mavazi,ambapo baadhi ya majarida yanandika kusiana na uvaaaji wake ukiwa wa bei ghali zaidi smbspo hivi karibuni akiwa Niarobi alioneka ameva viatu aina ya sneake vinavyotengenezwa na kampuni ijulikanayo kama Versace yenye thamani ya shilingi 1,295 dollars dollar za kimarekani sawa na shilingi 110000 za kenya shilingi 2,188,550 za kitanzania,zitazame picha hizo hapa chini 

 


 


Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top