Hichi ndicho Kiasi cha Pesa Anacholipwa Msanii Davido Kutoka Nigeria kwa Show Moja.






Leo kupitia mtandao wa Twitter manager wa msanii kutoka Nigeria Davido ambaye pia ni kaka yake anayejulikana kwa jina la Chairmanhkn ametoa post inaonyehsa kiasi cha dola nazolipwa msanii davido kwenye show moja ambayo ni dola 50,000 za kimarekani sawa na shilingi Millioni 84 za kitanzania




Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top