Video Vixen Huddah Monroe Kenya kutoka nchini Kenya ameingia tena kwenye Headlines baada ya kuwa Staa wa kwanza kutoka Kenya kumiliki Iphone 6 ambazo zinathamani ya zaidi ya shilingi million Nne za kitanzania,kutoka kwenye ukurasa wake wa Instagrma ameachia picha hii hapa akionyesha simu yake hiyo


