Msanii Recho Afanya Vitendo vya Aibu na Shabiki wake Stejini Picha zote Ziko hapa.

 

Hitmaker wa single ya mwali kigego na nyingine nyingi ambazo umeshawahi kuzisikia kutoka kwake msanii Recho ambaye ni zao kutoka nyumba ya Vipaji Tanzania yani THT amefanya kitendo cha aibu akiwa stejini katika moja ya show zake baada ya kumruhusu shabiki wake kubambia lakini katika iliyowaacha midomo wazi watu wengi,hizi ni baadhi ya picha katika tukio hilo 








Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top