PICHA ZA SHOW YA SERENGETI FIESTA 2014 DAR ZIPO HAPA.. #NISHEEDAH

Msanii kutoka Nchini Marekani T.I akitoa burudani kwa wakazi wa Jiji la Dar Katika Show ya Fiesta iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Leaders.
Msanii Davido kutoka nchini Nigeria Akiwajibika
Ali Kiba kwa stage ya #SerengetiFiesta #NiSheedah

Diamond Platnumz akitoa burudani
 Vanessa Mdee
 Dimpoz kwa pozi
 Ommy Dimpoz
 Mashabiki
 Banana
 Young Killa
 Waje kutoka NIgeria
 Mashabiki wakishangweka
 Victoria Kimani akiwajibika
 Rachel Kazini
 Rachel na wakata mauno wake.
 Barnaba
 Shaa na steji shoo wake wakiwajibika
Shaa akikata mauno
Weusi On Stage
Picha By BS na Lukaza Blog
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top