Picha za Wale Mapacha Waliofanikiwa Kuvunja Ndoa ya Rapper Wiz Khlifa Na Amber Rose Hawa Hapa.

Jas & Ness

Jas pamoja na Ness ambao ni mapacha waliweza kuteketeza ndoa ya Rapper Wiz khlaifa pamoja na reality star Amber Rose ambapo mtandao wa TMZ uliripoti kwa Amber alidai mapacha hao wanatoka na mumewe na yeye Amber kuomba Talaka kwa mumewe sasa nimekukusanyia baadhi ya picha za hawa watoto wa kike wazuri waliofanikiwa kumteka rapper Wiz khalifa....

 



Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top