Miss World kutoka Kenya Shamim Nabil AfungaNdoa na Rubani picha zote ziko Hapa.



Aliyekuwa Miss World kutoka Kenya ambaye anajulikana kwa jina Shamim Nabil amefunga ndoa na mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Fahim Mohammed ambaye ni Rubani kwenye shirika la ndege nchini kenya

Na hizi ni baadhi ya picha zake katika siku ya harusi yake 








Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top