Msanii Tiwa Savage ambaye huwa nasifika kwa kuwa vocalist mzuri hasa kutokana na sauti yake anavyo ipangilia katika badhi ya nyimbo zake,Lakini kwa sasa nchini Nigeria watu wamekuwa wakimpiga majungu kwa kuvaa vinguo ambao vya nusu utupu na kupanda navyo stejini na kuwa onyesha kitumbua chake mashabiki wake
Msanii huyo ambaye ameolewa na mumewe anajulikana kwa jina la Bobby Brown lakini amekuwa hataki kuvaa mavazi ya heshima kila wapo stejini imefikia mpaka hatua mumewe amekuwa hampi ushirikiano msanii huyo,baadhi ya watu ambao hufika kwenye show zake huwa swali la kwanza huwa wanauliza kama mwanamke huyo kama ameolewa wanapojua kama ameolewa huwa wanasema kwanini anavaa vinguo vifupi kama hivyo anatafuta bwana ama ni malaya
Hizi ni baadhi ya picha zake akiwa ndani ya mavazi ya utupu stejini