Breaking News: Staa Mwingine Kwenye Muziki wa Dansi wa Dansi Afariki Dunia.





Aisha Mohamed Mbegu





Clouds FM mapema leo December 17, 2014 imetoa taarifa kuhusu kifo cha aliyekuwa mnenguaji maarufu kwenye muziki wa dansi Tanzania Aisha Mohamed Mbegu maarufu kama ‘Aisha Madinda’.Japo taarifa za mwanzo ahazijakamilika ila zinasema alipelekwa hospitali ya Mwananyamala akiwa tayari amefariki, Endelea kuwa nasi kupitia mitandao ya kijamii ili tukupatia taarifa punde zitufikiapo kupitia Facebook,Twitter pamoja na Instagram kwa jina hilo la Kishymba

Mungu Ailaze Pema Roho ya Marehemu Mahali pema Peponi Amina 


Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top