Kocha Van Der Pruijm akiwa na Shaffih Dauda
Kocha Hans Van Der Pruijm aliyewahi kuinoa timu ya yanga miaka ya nyuman amerudi tena yanga, siku ya jana alitua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa jijini Dar es salaam amesema amerudi tena kwenye timu yake ya zamani kuendeleza pale alipoishia,
‘Falsafa yangu ipo pale pale ya kucheza soka la kushambulia, kwasababu naamini ili ushinde mchezo ni lazima ufunge mabao ya kutosha’.
Kocha huyo amesema bado hajasaini mkataba ila ana matumaini makubwa atamalizana na wakurugenzi wa klabu pale watakapokutana,
Credit shaffih dauda