Mfanyakazi wa Ndani Aamuua wa Bosi wake Baada ya Kukatazwa Kwenda Kwao Kula Krismas Sikukuu.




maid 


Wazazi mnashauri msiachie watoto wenu wasicha wa kazi ambao hawajielewi hawana uchungu wa watoto na hawajui thamani ya mtoto,Wiki ya jana tumetoka kusikia lile tukio la msichana wa Ugandan sasa leo limetokea lingine huko Nigeria ambapo msichana mmoja alikuwa akuwa ameajiri kufanya kazi za ndani katika familia moja, aliwachukua mtoto wa kike wa miaka mitatu ambaye ni mtoto wa familia hiyo alikuwa ameajiriwa kwa ajili ya shughuli za ndani, baada ya hapo msichana huyo aliamua kuumua mtoto huyo wa miaka mitatu baada ya mama mwenye nyumba hiyo kumwambia hukuna kwenda kijijini kwenu kwa ajili ya kusheherekea sikukuu za krismas na mwaka mpya badala yake atakaa na watoto nyumbani siku hiyo ya sikukuu  

Baada ya kuona mama huyo ambaye ndie boss wake anashikilia msimamo wake aliamua kumuua mtoto wa mama huyo mwenye umri wa miaka mitatu na alipo ulizwa kwanini umefanya kitendo hicho akesema kwakuwa mama alinikataza kwenda nyumbani kwetu kusherekea nyumbani kwa kuwa huyu mtoto wake ndie kikwazo nikamua ili niende 

Haya kazi kwenu hapa Tanzania angalia nawe msichana wako wa kazi asije kukuletea matatizo ukala sikukuu ukiwa na majonzi
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top