Mwanasheria Mkuu Alipaswa Kufukuzwa Kazi na Kufikishwa Mahakani Kwa Uzembe Asema Zitto Kabwe.


Zitto Kabwe

Mh Zitto Kabwe ambaye ni mbunge wa Kigoma Kasazini kupitia akaunti yake ya facebook ametoa ya moyoni baada ya taarifa za Mh Jaji Frederick Warema Kujizulu na hii ndio kauli yake 

"Nimepokea taarifa ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kujiuzulu na nimeshangazwa na sababu alizozitoa kujiuzulu. Alipaswa kufukuzwa kazi na kufikishwa mahakamani kwa uzembe na matumizi mabaya ya ofisi. Hata Rais Kikwete asipofanya hivyo, Rais ajaye atafanya hivyo"

Zitto Kabwe













Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top