Ni mtaalamu wa kupupia picha za utupu almaarufu kama #breaktheinternent anajulikama Maheeda au ‘Goddess Of X’ kama anavyojiita kwenye mtandao wa kijamii wa twitter, leo kupitia twitter ameandika kuhusu yeye kutaka kufanya mapenzi na raisi wa Nigeria ambaye Mh Goodluck Jonathan naomba nisiongezee kitu kwenye sentensi aliyoisema na nakuu alichokiandika
“I’m married oh eh ehn! So I wont f*** another man.. Shm! But if not, Na president I for like f*** collect federal money! Yep! I tweet am!”