Nyingine ya Ajabu zaidi Mwanaume mwenye Sura Mbili Huyu Hapa.



Mwanaume mwenye Sura Mbili


Mwanaume mmoja jina lake Edward Mordake ambaye amevunja rekodi ya dunia kwa kuwa na nyuso mbili, kwa mujibu wa repota wa story hii ana sema jamaa huyu ana sura mbili ambayo moja iko kama kawaida na nyingine iko kwa nyuma ambapo wakati akitembea anaweza kuona nyuma na mbele kwa wakati mmoja, kingine cha ajabu zaidi kuhusu mwanaume huyu anauwezo wa kulia na kucheka kwa mara moja picha yake nyingine iko hapa chini 



Mwanaume mwenye Sura Mbili

Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top