Meek Mill Atangaza Kufanya Collabo yake na Davido.

Meek-Mill-n-Davido 


Rapper Meek Mill kutoka Marekani ambaye ni mpenzi na Rapper Mwenzie Nicki Minaj, ametangaza kufanya Ngoma na staa kutoka Nigeria Davido japo taaarifa hiyo haijawekwa wazi nani kamfuta mwenzie na kufanya nae ngoma na hicho ndicho kilichoko kwenye Twitter 


meek


davido - meek

Staa Wizi Kid Naye aliguswa na stori hii 

Wiz-Davido

Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top