Picha ya Magari Anayomiliki Size 8 na Mpenzi wake DJ Mo kutoka Kenya.



DJ Mo and Size 8 Cars




Ile Top celebrity couple kwenye angala la muziki wa gospel nchini Kenya ambayo inashikiliwana na Dj Mo pamoja na Size 8 wote wako katika chati hasa linapokuja swala la waimbaji wanao wika nchini Kenya. Kingine kutoka kwao kwa Kenya ni moja kati ya Pair (couples) iliyofanikiwa zaidi kuanzia kimapato hasa kutokana na mziki wao wanaofanya na nimekuletea picha za magari wanayomiliki 

DJ Mo and Size 8’s Cars
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top