Picha za Diamond Platnumz Akimpikia Mpenzi wake Zari.



Wakati Stori zikiendelea kuvuma Juu ya Nyumba ya Staa Diamond Platnumz yenye Thamani ya million 400 za kitanzania kwenye Instagram yao leo imeshare picha zikionyesha wawili hao yaani Diamond na Zari wakiwa Jikoni huku Dangote akipikia chakula kwa ajii ya mama Kijacho chake Zari The Boss Lady 


In The Name Of Love 

picha za zari na dimaond chumbani
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top