Picha za Zari azunguka Anga ya Kenya kwa helikopta






Wanasema Raha Jipe Mwenyewe mana za Kupewa mwisho wake huwa majonzi, Mpenzi wa Staa Diamond Platnumz kutoka Uganda Zari The Boss Lady weekend hii alikuwa Kenya akitanua ndani ya anga la Kenya kwa Helkopta ya kukodi akiwa na rafiki zake ambapo akiwa huku alikutana na Boss Lady Mwenzake Huddah Monroe kwenye Party ya Art of Luxury iliyofanyika Skylux Lounge.


Picha zingine ziko hapa chini Endelea nazo













Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top