Breaking News; Watatu Wafariki Dunia Baada ya Kupigwa Risasi wakishukiwa kuwa ni Al Shabab Morogoro.


Watu watatu wamefariki Dunia na wengine wawili wanasakwa na Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro baada ya kushukiwa kuwa ni Al Shabab wakijaribu kufanya Jaribio mkoani Morogoro.Watu hao walifariki baada ya kurushiana risasi na Polisi taarifa zaidi itafuta mara baada ya mda mfupi.

Credit ITV Tanzania

Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top