Nay wa Mitego Kamvisha Pete ya Uchumba Shamsa Ford?

Nay wa Mitego kamvalisha pete Shamsa

Kwenye Akaunti ya Insta ya Staa Shamsa Ford ambaye ni Diva kutoka kiwanda cha Movie Bongomovie Amepost picha akionyesha zawadi aliyopewa na Hit Maker wa Single ya Akadumba Nay wa Mitego ambayo ni Pete. 

Nay wa Mitego amesema amempa zawadi hiyo ili kila akikaa amkumbuke na siyo ya uchumbo japo amekiri chochote kinaweza kutokea baina yao ikifika basi atawajulisha mashabikiwake.


A photo posted by shamsa Ford (@shamsaford) on
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top