Shilole Amethibitisha Kuachana Rasmi na Nuh Mziwanda kwenye Audio Hii.

Shilole na Nuhu Mziwanda


Hitmaker wa Single ya Malele Shilole ambaye kwa takribani miaka miwili ya mahasiano yake ya kimapenzi na msanii Nuh Mziwanda yamefika tamati siku tatu zilizopita nikiwa na maanisha wameachana rasmi baada ya kutokea mikwaruzano kidogo.

Mtangazaji Soudy Brown alifanyan Interview na wakathibishatisha kuachana kwao rasmi hii hapa chini ni Audio ya Mazungumzo yao 


Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top