Masogange Anaswa Live Akinyonyana Ndimi na Midume Miwil Hotelini.

Agnes Gerald ‘Masogange’

Video Queen Maarafu Agnes Gerald ‘Masogange’ Ametia fora baada ya kunaswa na wanaume wawili tofauti huku wakionekana kila mmoja akimpata Denda kwa Nyakati Tofauti.Tukio hilo lilijiri katika Hoteli ya Lamada iliyopo Mbezi-Beach jijini Dar hivi karibuni baada ya mrembo huyo kutua Bongo akitokea nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ kwenye makao yake yasiyo wazi.

Zingalie hizi picha hapa chini

Agnes Gerald ‘Masogange’


Agnes Gerald ‘Masogange’

Baada ya taarifa hizo, Masogange alipigiwa simu ili atolee ufafanuzi tukio hilo lakini hakupokea simu.
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top