Martin Kadinda Akieleza Juhudi Alizozifanya ili Kuomuona Jackline Cliff China Gerezani.

martin kadinda

Jina la Jackie Cliff sio geni masikioni kwa watu kutokana na Umaarufu alikuwa nao staa huyu ambaye aliwah kuwa Video Queen kwenye Video ya Kimugina ya Linex kwa sasa yuko China akitumikia Kifungo chake baada ya kukamatwa na Madawa ya Kulevya nchini humo.Aliyewahi kuwa na Mahusiano ya karibu na Jackie Cliff Martin Kadinda anaeleza juhudi zake za alivyotaka kumuona Rafiki yake 


Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top