Mkazi wa Morogoro Ajikata Kiganja Baada ya Mh Lowassa Kukosa Urais.

Mkazi mmoja wa mkoa wa Morogoro amejikata kidole chake kidogo cha mkono


Mkazi mmoja wa mkoa wa Morogoro amejikata kidole chake kidogo cha mkono wa kushoto ambacho huingizwa kwenye wino baada ya kupiga kura ikiwa ni hasira ya Lowassa kukosa uraisi.
Mkazi huyo pia ameharibu kadi yake ya kupiga kura na kuahidi kutopiga kura tena katika maisha yake
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top