Uhusiano wa Kimapenzi Kati ya Idris Sultan na Samanthan Umevunjika.

Idris Sultan na demu wake Samantha Jansen

Big Brother Africa Hotshots winner Idris Sultan ambaye kwa sasa yuko Mbioni kuanza Show yake mpya itakayoruka kwenye baadhi ya TV Station, Taarifa zilizoko kwenye Mitandao ya Kijamii ni kuwa Staa huyu kaachana na Aliyekuwa mpenzi wake kutoka South Africa Samantha Jansen.

Kwenye Show ya The playlist inayorushwa na Times Fm Idris alidhibisha kuwa yeye ni Samanthan Si wapenzi Tena

"It's over,its done me and her" 

Uhusiano wao Umedumu kwa Muda Mchache sana.
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top