Baada ya kutambulishwa rasmi kwa Label ya Unity Entertainment ambayo iko chin ya msanii AY... Msanii Feza Kessy kuachia Track yake mpya Jumatatu ya Tar 11.02.2013.
Track hiyo ambayo itakwenda kwa jina la Amani Ya Moyo ambayo imefanywa chini ya studio za Mpo Africa chini ya Producer Ben Mwamba na kufanyiwa mixing na producer Marco Chali..
Endelea kutembelea blog yetu utaipata hiyo track hapa

