
Ndoa iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ya mwanamuziki kutoka Nigeria anayejulikana kama 2Face Idibia na mchumba wake Annie Macaulay Idibia sasa inatarajiwa kufungwa Tarehe 23 March mwaka huu.
Mkewe mtarajiwa Annie Macaulay Idibia aliandika hivi kupitia ukurasa wake wa facebook na kusema kuwa ndoa hiyo itafungwa Dubai.

