KIM KARDISHIAN AFUNGULIWA MASHITAKA BAADA YA KUCOPY JINA LA KAMPUNI STORY IKO HAPA.





Wadada  watatu ambao ni Kim, Kloe na Kourtney wamepigwa marufuku  kuto kuuza bidhaa  zao za Khroma cosmetics kutokana na copy and paste ya jina la company iliyoanzishwa 2010 itwayo Kroma inayohusika na na uuzaji wa  cosmetics.

Lee Tillett who trademarked Kroma in 2010 amefungua mashitaka dhidi ya kampuni  ya Boldface ambayo inashughulika na utengenezaji wa bidhaa na usambazaji wa Kardashians Khroma cosmetics line.

Miss Tillett sought $10m (£6.67m) in damages from the sisters and Boldface Group Inc for ‘stealing’ the name of her cosmetics line. Kama Miss Tillett atashinda hii kesi basi Kardashians hawana budi kulipa dollar million kumi kufidia damages zote za company ya Kroma.
Newer Posts Older Posts
© Copyright WCB Daily Published.. Blogger Templates
Back To Top